Released on May 8, 2026

Thumbnail

(CHORUS X2 )

One time nilitaka kuwa Gaza

Wannabe gangster sikurada

I was like 14 unambata

SnapBack chain na mapete Kama smarta

(VERSE 1 )

Anadai nimpee gift me si santa

Lyrically hii doba ikona ladha

Boys wangu akona pedi na ni matha

Ako mavitu na mkoro alimkanya

Forward travellers ye hupanda nganya

Puff one two high amenyanya

Zilimshow Ati anaeza sanya

Snitch kumbe dem wake alimpeana

Nivibad, wasee walifanywa

Saa hii uyo boy ako jela alibambwa

Ata heri jela even worse ange madwa

Boy Angekuwa msanii mkubwa sana

(CHORUS X3)

One time nilitaka kuwa Gaza

Wannabe gangster sikurada

I was like 14 unambata

SnapBack chain na mapete Kama smarta