Wasikudanganye

By Nandy

On The African Princess

Released on July 7, 2017

Thumbnail

[Verse 1]

Wasikuambie kwamba mimi ati sina lolote

Labda wakuambie sina ujanja juu yako

Wasikudanganye watakupa utakacho chochote

Wataitoa wapi furaha

Maana wabaya, hawatoki mbali

Jirani yako we ndio anapenda usile

Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea

Hawatokujali kipindi ambacho mawazo yanafanya usile

Watakutupia mbali, hmm


[Pre Chorus]

Siulisema unataka gari na nimekubali

Kuenyeka mimi mie

Tule mbegu na ugali kesho tutapata

Kipenzi nivumilie

Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali

Kitanzi nining'inine

Si tumetoka mbali mazoea


[Chorus]

Na ushakuwama huoo (moyo moyo)

Wangu mimi unauendesha (moyo moyo)

Funga macho na masikio ziba (moyo moyo)

Usiwasikie usiwaone pia (moyo moyo)

Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo)

Hauuu, uuuh (moyo moyo)

Usiwaone pia


[Verse 2]

Kukosa majaribu moyo usije tia donda ukauchubua

Maumivu yaniadhibu kisa upendo furaha yangu ukaichukua

Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu siku ntakosea

Kukuacha sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia

Ila usifanye kama fimbo, ufanane na tindo

Ukashindwa kujali maumivu yangu


[Pre Chorus]

Siulisema unataka gari na nimekubali

Kuenyeka mimi mie

Tule mbegu na ugali kesho tutapata

Kipenzi nivumilie

Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali

Kitanzi nining'inine

Si tumetoka mbali mazoea


[Chorus]

Na ushakuwama huoo (moyo moyo)

Wangu mimi unauendesha (moyo moyo)

Oh funga macho na masikio ziba (moyo moyo)

Usiwasikie usiwaone pia (moyo moyo)

Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo)

Auuu uuh... (moyo moyo)


[Outro]

Uh moyo

Moooyo

Haaah, ah moyo

(Moyo moyo) wangu mimi

(Moyo moyo) funga macho, yeah yeah

(Moyo moyo) oh baby, eeh eeh

(Moyo moyo) funga macho

Ah, funga macho

Heeeei, funga macho

The African princess