Released on November 9, 2018

Thumbnail

[Intro]

Yeah aah aah aahaah mmh


[Verse 1]

Uzuri wako mashallah na macho yako ndo balaa

Sauti yako noma sana na mwendo wako ndo balaa


[Pre Chorus]

Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani

Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani

Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani

Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani


[Chorus]

Me hazipo

Hazipo

Kwajili yako mwenzio me hazipo baba

Hazipo

Akili me hazipo bwana

Hazipo

Kwajili yako mwenzio me hazipo baba

Hazipo

Ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye


[Verse 2]

Stimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah

Sijitamani nifikirie sana aaaah

Usinipe maruani me moyo utaamaa na mashetani yanapenda kwa manaa aaah


[Pre Chorus]

Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani

Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani

Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani

Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani


[Chorus]

Me hazipo

Hazipo

Kwajili yako mwenzio me hazipo baba

Hazipo

Akili me hazipo bwana

Hazipo

Kwajili yako mwenzio me hazipo baba

Hazipo


[Verse 3]

Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo

Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo

Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo

Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo

Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo

Oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo


[Chorus]

Mwenzio mie hazipo

Hazipo

Kwajili yako mwenzio me hazipo baba

Hazipo

Akili me hazipo bwana

Hazipo

Kwajili yako mwenzio me hazipo baba

Hazipo ooh yeah

Hazipo ooh yeah

Hazipo ooh oh wee