Dah!

By Nandy

Released on January 17, 2024

Thumbnail

[Verse 1]

Mie salama na mzima

Sina hata useme adaah

Umenishika kwa mtima

Pumzi sihemi adaaah

Penzi si made in china

Halinaga utemi adaaah

Nyingi dua amina ololofemi adaaah


[Bridge]

Tumeipamba nyumba kwa tabasamu

Macho fumbua fumba hunihishi hamu

Wanaongea Pumba, tuwafunze nidham

Kwa moyo upo mchumba hadi kwenye Damu


[Chorus]

Nguvu sina Daaah da da da daah dah

Umenimaliza Daaah da da da daah dah

Akili kabisa inadata Daaah da da da daah dah

Umeniweza mpenzi Daaah da da da daah daah


[Verse 2]

Nibebeshe mazito mepesi unipokee

Tufate mtiririko mbali tutokomee

Wapate makasiriko zodo tuwazomee

Penzi funika funiko geti uchomelee

Penzi limestawi bila kumwagiliwa

Penzi sio uchawi eti atumwe njiwa


[Bridge]

Tumeipamba nyumba kwa tabasamu

Macho fumbua fumba hunihishi hamu

Wanaongea Pumba, tuwafunze nidham

Kwa moyo upo mchumba hadi kwenye Damu


[Chorus]

Nguvu sina Daaah da da da daah dah

Umenimaliza Daaah da da da daah dah

Akili kabisa inadata Daaah da da da daah dah

Umeniweza mpenzi Daaah da da da daah daah