Released on November 9, 2018

Thumbnail

[Verse 1]

Huba langu nilikupa sioniieeh

Upendo wangu ukautupa jahaniih

Kumbe doriani tamu mdomoni harufu puani

Usi na uzio ya chumbani wayatoa hadharani

Acha niupete niupete nisije ula chuyaah

Acha niyabwage niyabwage gubu sijazoeah

Acha niupete niupete nisije ula chuyaah

Acha niyabwage niyabwage gubu sijazoeah

Ayaaah ayaaah aaaah ayaah


[Pre Chorus]

Wala si malumbano imejawa mifano

Wakileta maneno siwakohoi

Wala si malumbano imejawa mifano

Wakileta maneno siwakohoi

Halo halo


[Chorus]

Kiroho papo papo

Huba la roho yako

Kiroho papo papo

Huba la roho yako


[Verse 2]

Singo nililosingwaah nimesingwa unyagoni

Kachiri wee funga mkanda mbona yako huyaneni

Acha nitete, nitete roho yangu

Usikurupuke ukapoteza mudi yangu

Sikupata tafadhali unikeshesha

Hukujali yangu hali

Kutwa kunichoreesha


[Pre Chorus]

Wala si malumbano imejawa mifano

Wakileta maneno siwakohoi

Wala si malumbano imejawa mifano

Wakileta maneno siwakohoi

Halo halo


[Chorus]

Kiroho papo papo

Huba la roho yako

Kiroho papo papo

Huba la roho yako

Kiroho papo papo

Huba la roho yako

Kiroho papo papo

Huba la roho yako