Released on November 9, 2018

Thumbnail

[Verse 1]

Kuna maneno ya kusikia sikupendi utaambiwa

Sio ishu ni hatari usije ukayasikia

Mwenyewe umenisifia mwendo wangu wa ngamia

Taratibu bwana darling usije ukayasikia


[Pre Chorus]

Usije niacha wakati nakupenda sana

Eeh bwana we me nitapagawa

Mambo madogo kelele za kusemezana

Nielewe, mambo weka sawa

Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo

Kama ulaya wanavyofanyagaa

Utanipa donda hapo hapo nikianzishe kilio wo wo wo

Baba ubaya Usije ni bwagaa nakupenda


[Chorus]

Bado, nakupenda baba

Bado, laazizi

Bado, usininyime utamu

Bado, nakupenda

Badon, nakupenda bwana

Bado, ooh wangu Mimi

Bado, yeah yeah yeah

Bado

Mh


[Verse 2]

Hutumii vumio bwana samaki sio supu ya nyanya

Mambo ng'ari ng'ari habari zinapatikana

Na maneno Ndo mengi sana usishike moja tazama

Nipe vya asali kachumbari pilipili Kwa sana


[Pre Chorus]

Usije niacha wakati nakupenda sana

Eeh bwana we mi nitapagawa

Mambo madogo kelele za kusemezana

Nielewe Mambo weka sawa

Usije niacha mwenzako nitamisi matukio wo wo wo

Kama ulaya, wanavyofanyaga

Utanipa donda Kwa hapa nikianza shikilia wo wo wo

Baba ubaya Usije ni bwaga nakupendaa


[Chorus]

Bado, nakupenda baba

Bado, laazizi

Bado, usininyime utamu

Bado, nakupenda

Badon, nakupenda bwana

Bado, ooh wangu Mimi

Bado, yeah yeah yeah

Bado

Yeah yeah yeah


[Outro]

Hutumii vumio bwana

Samaki sio supu ya nyanya

Mambo ng'ari ng'ari

Habari zinapatikana

The African princess