[Verse 1]
Wewe ni mungu
Huchelewi wala hawai
Unafanya mambo kwa wakati nakuamini
Yale machungu hayakuja kunitoa uhai
Yalikuja kunipa imani ya kukuamini
[Pre Chorus]
Nitakushukuru kama nikipata leo
Nitakushukuru kama nikikosa kesho
Mi ninachojua we huna upendeleo
Na fahamu zako zimenizidi upeo
Leo zamu yangu umenikumbuka na mimi
Mbona siamini ntakulipa nini
Leo zamu yangu umenikumbuka na mimi
Mbona siamini ntakulipa nini
[Chorus]
Asante baba, asante baba
Asante baba, ninakushukuru baba
Asante baba, asante baba
Asante baba, ninakushukuru baba
[Verse 2]
Baba ninachojua wakati wako ni sahihi
Hivyo nitasubiria wakati wangu
Wala sitolia lia kwa ndugu na majirani
Ila ninachojua unaniona
[Pre Chorus]
Nitakushukuru kama nikipata leo
Nitakushukuru kama nikikosa kesho
Mi ninachojua we huna upendeleo
Na fahamu zako zimenizidi upeo
Leo zamu yangu umenikumbuka na mimi
Mbona siamini ntakulipa nini
Leo zamu yangu umenikumbuka na mimi
Mbona siamini ntakulipa nini
[Chorus]
Asante baba, asante baba
Asante baba, ninakushukuru baba
Asante baba, asante baba
Asante baba, ninakushukuru baba