Released on March 17, 2020

6K Views

Thumbnail

VERSE 1: (NADIA MUKAMI)

Kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia

Nairobi mpaka bagamoyo, anataka kunichumbia....

Sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaaaa aaah

Tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaaa aaah

Picha kule kule, watapata taabu saaana...

Macho mbele mbele, ananipenda saanaaa aaah

(PRE- CHORUS)

Hakuna pingamizi kwetu

Hakuna madrama huku kwetu

Hatuna maneno huku kwetu

Tunapendana kikwetu...

CHORUS:

Aka kamoyo kangu nijipe.... nijipe....

Ukinipenda sana nijipe..... nijipe..(X2)

VERSE 2: (MARIOO)

Mmmh

Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai... kweli...

Uh.. ndo nishazama usinipige kipapai honey

Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai... kwelii...

Uh... ndo ushakwama unachotaka sikatai honey

Najua bado huamini haya yamekua..(yamekua ehh)

Acha siamini...

(PRE CHORUS:)

Si Hakuna pingamizi kwetu

Hakuna madrama huku kwetu

Hatuna maneno huku kwetu

Tunapendana kivyeeetuu...

(CHORUS)

Aka kamoyo kangu nijipe........ nijipe..

Ukinipenda sana nijipe......nijipe (X2)

VERSE 3:(NADIA MUKAMI)

Mapenzi malove nawe, iwe shida au raha nitaponda nawe...

Nataka kapicha nawe... kumbusho pale tumetoka naweee

Siamini leo ni mimi nawe (uuuuuh mama) ni mimi na wewe

Hizi pesa nitafute nawe (Uuuuuuh mama) nitafute na wewe

Lemme call you my dear

This love is real not bandia

If I love you hutakimbia

Coz my love is real not bandia

(PRE- CHORUS)

Hakuna pingamizi kwetu

Hakuna madrama huku kwetu

Hatuna maneno huku kwetu

Tunapendana kikwetu...

(CHORUS)

Aka kamoyo kangu nijipe........ nijipe..

Ukinipenda sana nijipe......nijipe (X2)