Mapozi

By Mr. BlueTZ

8K Views

Thumbnail

[Verse 1]

Nifanye nini ili unielewe?

Nikupe nini ili niwe na wewe?

Au majumba ya kifahari

Ili twende home tukajivinjari

Unajua sababu sina pesa

Ndo dhumuni la kunitesa

Unajua sababu sina pesa

Ndo dhumuni la kunitesa

Basi nieleze kabisa, kwamba ntapata au nitakosa

Uje unieleze kabisa, kwamba ntapata au nitakosa

Oh ooh, au uje unieleze labda mimi sifai

Au uje uniambie

[Chorus]

Nataka nielewe wapi umejifunzia mapozi (mapozi)

Ili nipate tambua unapojifunzia hiyo course (hiyo course)

Maana nikifikiria huwaga natokwa machozi (machozi)

Au sina hadhi ya kuwa wako mpenzi

Basi nieleze usinifanyie mapozi

(Mapozi nawe, we na mapozi nawe) x8

[Verse 2]

Nikilala sipati usingizi

Nikifikiria natokwa na machozi

Basi laazizi usiniletee mapozi

Nsijekufa sababu ya mapenzi

Najaribu kukuacha siwezi

Kwenye mapenzi labda umeniwekea hirizi

Najaribu kukuacha siwezi

Kwenye mapenzi labda umeniwekea hirizi

Basi nieleze nsije nkapata uchizi

Nkajakufa sababu ya mapenzi

Uje unieleze nsije nkapata uchizi

Nkajakufa sababu ya mapenzi

Oh ooh, au uje unieleze labda mimi sifai

Au uje uniambie

[Chorus]

Nataka nielewe wapi umejifunzia mapozi (mapozi)

Ili nipate tambua unapojifunzia hiyo course (hiyo course)

Maana nikifikiria huwaga natokwa machozi (machozi)

Au sina hadhi ya kuwa wako mpenzi

Basi nieleze usinifanyie mapozi

(Mapozi nawe, we na mapozi nawe) x8

[Verse 3]

Ni neno moja ndo nalotaka tu

Unanipenda, haunipendi basi nijue moja tu

Kuliko kulia na mapenzi daily

Kuja home kwenu kupiga misele

Wakati we umeweka pesa mbele

Au sina hadhi? Niambie tu

Kisa sina kazi ndo unitese du

Ah, ruksa mami tukapime HIV

Vuta ndani njoo tuset VIP

Basi cheka tena nione zako dimples

Sura nzuri mamii haina hata pimples

Nini unataka zaidi ya penzi?

Mikoko boma ya Bima na Benz

No leta hapa mambo ya kishenzi

Nachohitaji tuwe close, uwe wangu mpenzi