B-L-U-E

By Mr. BlueTZ

Released on January 18, 2019

Thumbnail

B-L-U-E

B-L-U-E

B-L-U-E

B-L-U-E

Mpenzi nipe karatasi

Niandike hizi habari

Habari za maisha ya game

Maisha yote ya safari

Maisha ya hatari

Maisha ya shari

Piga kabali

Leo nitasema mengi

Halitatosha hili daftari?

Asubuhi kumekucha najikuta kwenye music

Gain all lane hakuna tena pa ku luzi

Rada line kila angle

Nasimama ka Nyerere

Nikifa hauzibi pengo

Daddy ananiita malengo

Mdogo kiumbo akili kama tembo

Busy Babylon Bongo

Msudani namsalamu

Kichwani ni sifa nengo

Kumi na tatu ni miaka

Yote nipo kwenye game

Usiniulize navyo kunda raha

Uliza pia msoto

So ukinikuta kwenye starehe na madem unanifuata

Alafu unaniuliza habari za changamoto

Game nilianza mtoto

Leo nina watoto

Mi ni mtoto nilifanya watoto wajue soko

Kama sifa zangu zipo

Na hamtaki kuzungumzia nitatulia

Mwanaume hashindani na sidiria

B-L-U-E(come on come on)

B-L-U-E(say my name, say my name girl)

B-L-U-E(Busy Babylon,Busy Babylon)

B-L-U-E(eeh eeh iyee)

Ni Sammy Rajab,nambari moja shule

Sikuamini kama somo niliyatupa kulee

Asante Mola kwa music, mama kula tulee

Promota mkwanja kwanza show sifanyi buree

Kwa pamba za blue blue

Ma siter duu wakani kiss kiss

Shusha tabasamu kama umeni miss miss

Tuko pamoja Uswazi na mboga saba

Usipocheza mapozi ataicheza mama na baba

Mkiwa club si mnalewa tila lila

Na role model wenu si ni Babylon Killer

Msijifunge semeni uso kwa uso

Unaogopa ajali ya bodaboda na Fuso

Fanya business dada huwezi vadi

Ulinzi uko salama shaki tagi

Kama sifa zangu zipo na

Hamtaki kuzungumza nitatulia

Mwanaume hashindani na sidiria

Mapozi nawe

B-L-U-E (come on come on)

B-L-U-E (say my name, say my name girl)

B-L-U-E (Busy Babylon, Busy Babylon)

B-L-U-E (eeh eeh iyee)

Busy Babylon...

Busy Babylon...