Released on July 26, 2024

Thumbnail

[Verse 1]

Umenifumba siwezi kuongea

Usikae mbali mchumba, karibu nami sogea

Penzi umeliunga, viungo vimekolea

Kwenye moyo nakupachumba, tabibu wangu elea


[Bridge]

Unakitichako peponi

Huu upendo gani

Na kama ni ndoto

Msiniamshe abadani


[Chorus]

Mimi huyu kumpenda mwingine noo

Mimi huyu kumpenda mwingine noo

Mimi huyu kumpenda mwingine noo

Mimi huyu kumpenda mwingine noo


[Verse 2]

Shikilia moyo wangu, mimi ni wa kwako tu

Ukinipiga chini, nitadead boo

Penzi tulishone cherehani, tuwe mapacha uuuh

Tulipigie campaign, lishike nyazifa za juu


[Bridge]

Unakitichako peponi

Huu upendo gani

Na kama ni ndoto

Msiniamshe abadani


[Chorus]

Mimi huyu kumpenda mwingine noo

Mimi huyu kumpenda mwingine noo

Mimi huyu kumpenda mwingine noo

Mimi huyu kumpenda mwingine noo


[Outro]

Hiii kompa kompa kompa kompaa hahaa hii

Hiki kizazi cha kompaa alooo