Shetani

By Mbosso

On Khan

Released on October 28, 2022

Thumbnail

Uchovu wa siku nzima

Nafsi nataka niipongeze

Tumwagilie mtima

Wauni wangu mjisogeze

Shogoroza, unga unga mwanangu upendeze

Ukitongoza, funga munda motto kamkoleze

Aaaahh shetani amepita

Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika

Aaahh Dj acha sifa

Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika

Ooh salome salome

Nimempenda uyo shoya yako salome

Ooh salome salome

Niweke niwe shem wako salome

Aaaahh shetani amepita

Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika

Aaahh Dj acha sifa

Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika

Yala yala yala

Yala yala yala

Yala yale yala

Yala yala yale (yalaa)

Yala yala yala

Yala yala yala

Yala yale yala

Yala yala yale (yalaa)

Ah Monday to Sunday

Ah ziyakhala manje

I needa trip Zanzibar, needa rock kendwa rocks

Needa baddie on a yacht ashante

Coz I don’t want no stress (yea yea yea)

Girl you rocking with the best (yea yea yea)

The titch gang never rest (yea yea yea)

This summer we the best (yea yea yea)

Monate mnate

Rona re batla monate mnate (monate mnate)

Monate mnate

Rona re batla monate mnate (monate mnate)

So let’s go party

Motto wangu let’s go party (let’s go party)

So let’s go party

Kama hakuna wasiwasi (hakuna wasiwasi)

Aaahh shetani amepita

Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika

Aaahh Dj acha sifa

Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika