Assalaam

By Mbosso

On Khan

Released on October 28, 2022

Thumbnail

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Uhali gani wa hali

Nakusalimu wa hali

Habib wa hali

Mi mzima wa shwaru

Hofu usiwe na swali

Moyo umetananari

Mazoea, yamenijengea jabia mwenzako

Nimelowea, ilo joto joto na harufu yako

Nimekolae, linanizongea jinni huba lako

Chochoea, upashe moto moto mwili wangu wako

(…)

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Mbalamwezi imetanda ishara dunia tulivu

Jifunge upande kanga mkulima nichume mbivu

Farasi mi wako panda, sichoki sina uvivu

Deka katoto ka change, upo bahari tulivu

Nimekosa ndege wa anga namtuma tuyuri

Aje kwako kunipamba kwa maneno mazuri

Khan ooh, sina mganga wa kunipa kibuli

Sijui kilinge mi najua kitanda kuifanya shughuli

(…)

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib

Assalaam alaykum ya habib