Mule Mule

By Matonya

Thumbnail

Hayaa...!!

"Abidady"


[Verse : 1 - Matonya]

Anaye nimalizaga leo amerudi tena

Kwa mikwara mingi tena yu ndani ya bima

Wallah tonya mbili kwake maneno mi sina

Amenishika roho, mwili mpaka hekima

Hivi vipesa karatasi hasara roho mama

Tuna tegana pwani huku kiunoni shanga

Anasema nipe kiti, asha pigwa na baridi

Yule kule msaliti, hataki kuona roho juu kabisaa


[Hook]

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa


[Verse : 2 - Rich Mavoko]

Unainua chako kiuno."alikupa mama"

Ongeza kidogo miguno."we mwana lala"

Vitundu fulani vya dunia

Usinipe mbuzi kwenye gunia

Tena lijali mi kitandani.oo "babu amenifunza"

Mengi maneno naweka kandoo."ndiyo maana nawa puuza"

Umefinyangwa muda gani wеwee.?

Au kwa udongo wa pwani wewee.?

Tayarisha mafuta ya karafuu

Uje kunichua na miguu

Kiza kidoga si nguru, ugali na pande la nguru

Walai hodari wеwe


[Hook]

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa


[Verse : 3 - Matonya]

My sweetie pipi sio ya kila mmoja

Mchezo ya kweli na dhifu watangoja

Kibarua yalisha utanisi ya kwajili yao

Nikaona sitakumbacha mswala upitao

Yaliopita si ndwele my honey

Katareo kakufunza nani?

Mateso mateso na mimi

Ukiniita nmekuja

Tena bila shanga kiunoni

Mguuni umeifungwa

Hivi vipesa karatasi hasara roho mama

Tuna tegana pwani huku kiunoni shanga

Anasema nipe kiti, asha pigwa na baridi

Yule kule msaliti, hataki kuona roho juu kabisaa


[Hook]

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa

Mulemule... unaniwezaga

Mule... mi nachoka kabisa