Released on November 4, 2022

Thumbnail

[Intro: PHY]

Mum alisema, "Your the brightest star

Na usisahau that my love for you will go far


[Interlude 1: Matata Mums]

Naitwa Naomi Mwikali (Ndio mama Ken)

Bancy Nyaguthie (Mimi ndiye mama Richie)

Patricia Milanya (Mimi ndiye mamake Fred)

Kwa majina naitwa Everlyne Ojiambo (Mimi ni mama Marcus)

Lucy Nyoroka (Mama ya Fezzo)

Richie akiwa class two hapo alikuwa ye anadance tu

Marcus akiwa na miaka kumi alitokea kwa kikundi ya kanisa

Nilijua huyu mtoto alikuwa na talent akiwa three years na nikambia Mungu kwa sababu yeye ni Mungu ambaye hukuza talent amtangulie

Alikuwa anapenda muziki anapenda kudance


[Break]

Matata, matata, matata

Matata


[Interlude 2: Matata Mums]

Na mimi huwa napenda hizo nyimbo zote

Lakini wimbo yenye napenda zaidi ni 'Mare Mare'

'Mapema' very first ilinifurahisha mpaka hata wa leo

Hii yenye ilitoka wanaimba 'Come baby, come baby' hiyo ndio napenda sana

Ile ya uthoni inaitwaje?

'Ruracio' ndio na skizanga nikasema hawa watoto wamefikiria nini kuimba hiyo ya uthoni

Naskiza na kwa makini sana kwa sababu ninajua kama sasa mambo ya ruracio that is 'dowry' then wako gangare