Released on November 4, 2022

Thumbnail

[Verse 1]

Nilipokua jana

Sipo nilipo leo

Si kwa ujanja wangu Baba (Aah)

Ata walipo nikana

Ulibaki na mimi

Nina kushukuru sana

Ni wewe milele kipekee nina kuabudu

Nisamehe nikikosa nikiwama unipe majibu

Ni wewe milele kipekee nina kuabudu

Nisamehe nikikosa nikiwama unipe majibu


[Pre-Chorus]

Umesababisha najidai

Umesababisha nafurahi

Natembea kifua mbele amen

Kwa hizi baraka na uhai

Baba sina cha kukudai

Aloniweka weka hapa ni wewe


[Chorus]

Acha nikusifu milele amina

Milele amina milele amina (Ehh)

Acha nikusifu milele amina

Baba milele amina milele amina (Ehh)


[Verse 2]

Naona ka nina bahati

Kwa yote uliofanya ohh thank you Lord

Miujiza mbele yako na piga goti

Naona ka nina bahati

Kwa yote uliofanya ohh thank you (Lord)

Miujiza mbele yako na piga goti

Wee ndo unaejua, napokanyaga napotembea

Na kila hatua dua, napopata napokosea

Wee ndo unaejua, napokanyaga napotembea

Na kila hatua dua, napopata napokosea


[Pre-Chorus]

Umesababisha najidai

Umesababisha nafurahi

Natembea kifua mbele amen

Kwa hizi baraka na uhai

Baba sina cha kukudai

Aloniweka weka hapa ni wewe


[Chorus]

Acha nikusifu milele amina

Milele amina milele amina (Ehh)

Acha nikusifu milele amina

Baba milele amina milele amina (Ehh)


[Verse 3]

Kama machozi hayatoki tena

Umeniokoa Baba wee ni mwema

Nakuita mwokozi nakosa cha kusema

We ndo nambari moja nakupenda daima

Kuna mikasa na visa (Aah)

Haya maisha ni vita (Ahh)

Bado uko na mimi oohh

Mkono wangu umeushika (Ahh)

Haujawai kuniwacha (Ahh)

Nitakusifu milele Baba wa mbinguni


[Chorus]

Acha nikusifu milele amina

Milele amina milele amina (Ehh)

Acha nikusifu milele amina

Baba milele amina milele amina (Ehh)