Released on May 28, 2026

Thumbnail

[Verse 1 : Marioo]

Watu wewe

Watu ooh ooh

Lazima tupate tupate tupate

Lazima tupate ile kitu roho inapenda

Mungu kaumba vitu, kaumba watu kwa dunia

Lazima tupate ile kitu roho inapenda

We baba wa kambo mbo, bora uninyonge

Me sioi kimbaumbau najijua

We mama wa kambo mbo, bora uniuwe

Napendaga ndembendembe gwedegwede

Bora kuwa single, kuliko nusu mtu

Nataka nikipita nae, mikono juu mwendo wa mateka


[Chorus: Marioo]

Watu wewe (Watu wewe)

Watu ooh ooh (Watu ooh ooh)

Watu wewe (Watu wewe)

Watu ooh ooh (Watu ooh ooh)


[Verse 2 : D Voice]

Mambo ya mwanamke sura, misitaki mambo hayo

Mwanamke shepu, sura hata mbuzi anayo

Misipendi mademu we mbamba napenda mademu, wenye nyama nyama

Walojaza nyuma wenye misambwanda

Wakipita yani ni vidanadana

Oya wanawake wasio kuwa na shepu, kwanza wangetiwa selo

Wanajaza dunia

Kama umekosa nature from God fanya hata BBL

Nini unasubiria

Ooh mwenzenu

Nataka nikipita nae, mikono juu mwendo wa mateka


[Chorus: Marioo]

Watu wewe (Watu wewe)

Watu ooh ooh (Watu ooh ooh)

Watu wewe (Watu wewe)

Watu ooh ooh (Watu ooh ooh)