I know that you deserve some more

Anything that you are baby you should let me know

You know that ukinitenda utaniumiza roho

Maana si unajua we ndo kipenda roho

Kuwe kuna mvua jua we baki hapa kando yangu

Iwe shibe njaa basi nile nawe kama kuna huzuni karaha

We ndo faraja yangu siku za furaha naenjoy nawe

Why why why nikulize Why why why nikulize

Why why why nikulize Why why why nikulize

Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe

Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe

Umenifanya niwaze ningewezaje dunia bila uwepo wako aah

Umenifanya nijiulize je ningeenjoy hii dunia nisingekuwa wako

You're the one i havе bbeen waiting for asali yaa moyo wangu

Faraja yangu iliyomo ndani yangu kwenye ini yako

Why why why nikulize Why why why nikulizе

Why why why nikulize Why why why nikulize

Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe

Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe