Released on November 29, 2024

Thumbnail

[Intro]

Kutoka, haloo

Oh

Oh, yeah


[Pre-Chorus]

Nashukuru nimejua kisa salioo

Ngoja kwanza nitafute hela

Kumbe shida sina salioo

Acha basi nikatafute hela


[Chorus]

Si ungesema kisa he- (He)

Ndio inayofanya nikose raha (La)

Si ungesema kisa he- (He)

Ndio inayofanya nikose raha (La)


[Verse 1]

Mi nakaa naumiza ndonga

Almanusra nidate, ah

Nimekaa naumiza ndonga

Chupuchupu nipagawe, bae

Maana usiku kucha unanisifia

Kukikucha una ni-cheat

Na tena, 'mara kwa mara unaniambia

Kitu yangu ndio ina fit

Mara pah, natumiwa video zako unaliwa

Mate kwenye ndinga, ah

Mara ghafla naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuzaa

Nikawa na shangaa


[Hook 1]

Nashukuru nimejua kisa salioo

Ngoja kwanza nitafute hela

Kumbe shida sina salioo

Acha basi nikatafute hela


[Chorus]

Si ungesema kisa he- (He)

Ndio inayofanya nikose raha (La)

Si ungesema kisa he- (He)

Ndio inayofanya nikose raha (La)


[Instrumental Break]


[Bridge]

Mmm-mm, yeah

Ah, ah


[Verse 2]

Si kila kitu tulifanya kwa ajili yako

Na wewe ukaniahidi utazikwa na mimi

Hata kitu niliwasha kwa ajili yako

Ni wewe ndio ulitaka uvute na mimi

Maneno yako yaliniaminisha 'na mi nikajiamini

(Comfortability)

Vitendo vyako viliniaminisha, kumbe sio

(Negativity)

Ah


[Hook 2]

Mara pah, natumiwa video zako unaliwa

Mate kwenye ndinga, ah

Mara ghafla naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuzaa

Nikawa na shangaa


[Hook 3]

Nashukuru nimejua kisa salioo

Ngoja kwanza nikatafute hela

Kumbe shida sina salioo

Acha basi nikatafute hela


[Post-Chorus]

Si ungesema kisa he- (He)

Ndio inayofanya nikose raha (La)

Si ungesema kisa hela (He)

Ndio inayofanya nikose raha (La)

Oh, yeah

Nafanya nikose raha