Raha

By Marioo

On Yale

Thumbnail

Aah mmmh mmmh

Ah unaringa umepima?

Aii utajiji

Huu mwaka utachina

Si ulileta unyang'au

Ukaukwi kunitishia

Unaondoka unaondoka

Kama daladala za Kariakoo

Inatoka inatoka

Hadharani unanisusia

Kuropoka ropoka

Ama domo lako shimo la choo

Yanakutoka

Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka

Maana nishapata pa kuegemea

Mmmmh napendwa

Na sio kwa ninavyojidekea

Hulka yako ya pupa

Mwenzako ananinyenyekea

Oooh kutendwa

Nakusikia kwenye bomba

Na tena naenjoy

Mpa ka raha mpaka

Natakatishwa

Mpa ka raha mpaka

Anipaga kutwa mara tatu

Mpa ka raha mpaka

Naogeshwa nakandwa

Mpa ka raha mpaka

Na tena naenjoy

Napenda akinipa

Akinipa migandisho

Kama anapigwa shoti

Akisakata migandisho

Na kama mapenzi

Roho yake bahari

Huu muda naelea

Maana nishazamaga

Nishakufa mzoga

Na kama penzi melody kali

Mi kwake ndo burudani

Wala sidhani ka

Ataridhika kunikosa

Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka

Maana nishapata pa kuegemea

Mmmmh napendwa

Na sio kwa ninavyojidekea

Hulka yako ya pupa

Mwenzako ananinyenyekea

Oooh kutendwa

Nakusikia kwenyе bomba

Na tena naenjoy

Mpa ka raha mpaka

Natakatishwa

Mpa ka raha mpaka

Anipaga kutwa mara tatu

Mpa ka raha mpaka

Naogeshwa nakandwa

Mpa ka raha mpaka

Na tеna naenjoy