Released on November 29, 2024

Thumbnail

[Intro]

Kutoka, haloo

(It's Cannibal)


[Pre-Chorus: Marioo]

Siri sio siri tena

Nimefanikiwa

Kutoboa moyo wake na pini

Toh-toh..., 'toh

Moyo wake na pini

Toh-toh..., 'toh


[Verse 1: Marioo]

Mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye ma taa

Inawezekanaje uniache, halafu nikuombee mema (Ooh)

Kila unachokiona, ndio "kua, uyaone" sio hayo ma taa

Inawezekanaje uniache, halafu nikuombee mema (Ooh)

Ubaya ubwela' mi shabiki wa Simba

Ukichapa la kushoto, na chapa la kulia, simuachii Mungu

Usilete usela kwa msela, mi sijawahi kushindwa

Ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu


[Hook 1: Marioo]

Nacheka meno 32 yote nje

(Ha-ha-ha)

Najifungiaga chumbani nazomea

(Oh, oh)

Nacheka meno 32 yote nje

(Ha-ha-ha)

Nimepata habari Ex wangu anaumia, ah


[Chorus]

Siri sio siri tena

Nimefanikiwa

Kutoboa moyo wake na pini

Toh-toh..., 'toh

Moyo wake na pini

Toh-toh..., 'toh


[Bridge: Aslay]

Ai, mama weh

Mh

Woah, woah, woah

Naona furaha

Ni-, ni-


[Verse 2: Aslay]

Nilinung'unika

Nilitokwa machozi yasiyo futika

Nilisulubika, nikapata stress za kutaka kufa

Si ulinidharau, ooh-ooh

Ulivyo pata wadau

Walivyo panda dau

Ukanitupa, ukaniona nyang'au

Sa hivi nimejipata

Umechacha, umechuna, unikome

Si ulikuwa kama Googlе

Unajuwa kila kitu, ushajuwa haujuwi

Mwenzako nishajipata

Napewa mapasi ya Pacome

Si ulikuwa kama Googlе

Unajuwa kila kitu, ushajuwa haujuwi (Eh-eh)


[Hook 2: Aslay]

Nacheka meno 32 yote nje

(Ha-ha-ha)

Najifungiaga chumbani nazomea

(Oh, oh)

Nacheka meno 32 yote nje

(Ha-ha-ha)

Nimepata habari Ex wangu anaumia, lo-lo lo-lo, lo-lo

[Post-Chorus: Marioo & Aslay, Both]

Siri sio siri tena

Siri sio siri tena

Nimefanikiwa

Nimefanikiwa mimi

Kutoboa moyo wake na pini

Toh-toh..., 'toh

Moyo wake na pini

Le, lele, lele

Toh-toh..., 'toh

Ai, mama weh

Naona furaha

Nasikia raha

Toh...,toh

Ai yeah

Toh toh riro-toh!

Moyo, moyo wake na pini

Shauri yake

Kutoka