Released on November 29, 2024

40K Views

Thumbnail

[Instrumental Intro]

Ooh, ooh yeah

Kutoka, haloo

Mm, mm

(It's Cannibal)


[Verse 1: Marioo]

Nilikutana nae 'Kilimani, Nairobi

Elfu mobile na kumi na tano

Kibaridi cha asubuhi, ki jua fulani sio kikali, saa tano

Oh, Nairobi elfu mobile na kumi na tano

Nikamchagua yeye, katikati ya wenzake watano

(Ah)

Nikamuomba, akaniomba 'number

Moyoni mwangu nikampa 'moja

She's my number, number, 'moja

Nikamuomba, akaniomba number

Moyoni mwangu nikampa moja

Now, she's my number, number, 'moja

Yaani namaanisha kwamba...


[Chorus]

Ndio tushaoana

Tushaoana

Ndio tushaoana

Ndio tushaoana


[Instrumental Break]


[Bridge: Bien]

Tushaoana

Tushaoana

Tushaoana

Tushaoana

Tushaoana

Tushaoana


[Verse 2: Bien]

Tulipatana Bongo, 'Mikocheni

Niko zangu beach nala upepo wa bahari

Alinipita kama meli

Anayumba, yumba akidondosa kishenzi

Oh, Mikocheni

Nikamfuata utadhani zombie

Habari gani, mbona uko lonely?

Jina ni gani? 'akasema, Zai

Nikamwambia aje (Aje)

Nikamwambia kwangu ni kwake

Nimshike wapi, ndio aje

Nataka moyo wangu uwe wake

Watangoja sana

Wakidhania tutaachana

Mimi na yeye tumeshaivana

Naichapa usiku na mchana

Yay, yay, yay

Yaani namaanisha kwamba...


[Post-Chorus: Bien & Marioo]

Ndio tushaoana

(Nishaoana na yeye, sa ni mi tu na yeye)

Tushaoana

(Nishaoana na yeye, sa ni mi tu na yеye)

Ndio tushaoana

Tushaoana

Tushaoana

Tushaoana

Ndio tushaoana

Tushaoana

Tushaoana

Tushaoana, ah

Oh, yeah, yeah

Tushaoana

Oh, oh, haloo