Sinywangi mitungi

Sivuti mafegi

Eti iihhh

Silagi mapepe

Sina kilevi

Chukua gari yangu kagonge kagonge

Nitapeleka Kwa fundi

Itarudi mpyaa

Chukua mali zangu zisombe zisombe

Ila Kwa bebi wangu

Utarudi kibogoyo

Ooh jamani naa viuu

Napenda mapenzi

Napenda kupendwa

Ohh lalila lalaah

Hata mkiskia

Nimejinyonga

Basi Mjue

Ye ameninyonga

Mkiskia

Nimejiua

Basi Mjue

Ye ameniva

Mapenzi

Mapenzi

Mapenzi

Mapenzi

Kama mapenzi ni pesa

Basi sio shilingi

Ya nani

Ya nani

Kama mapenzi shoo Kali

Afu sio kitandani

Asa mapenzi ndio nini

Na mbona nayapenda

Hakuna Raha hakuna Raha

Kama kuliliwa na mpenzi

Kimapenzi nyie

Ooh jamani nina viuuu

Napenda mapenzi

Napenda kupendwa

Ohh lalila lalaah

Hata mkiskia

Nimejinyonga

Basi Mjue

Ye ameninyonga

Mkiskia

Nimejiua

Basi Mjue

Ye ameniva

Mapenzi

Mapenzi

Mapenzi

Mapenzi