Manyaku

By Marioo

On Yale

Thumbnail

Blacq, Blaq

They Call me Toto Bad

Sir God Kauba Kapatia

Hana Dosari Ana vutia

Sebure kwa chumba kajazia

Lahda asali ana natia

Akitupia ana pendeza

Kama mdori

Lips colour mpaka raha kama kachori

Namba D car hajatembezwa bado kigori

Kama kungu kala

Mpaka raha

Jicho goroli

Kama samaki sangara

Hiyo miyo mikogo (wacha bwana)

Manyaku kama nawaona

Nimacho kodo mieee

Akini touch touch

Moyo una dundaga

Una dundaga

Akisema sitaki

Akinuna moyo una dundaga

Una dundaga

Wapo watao sema hunifai

Ili wakuchukue

Vaniachie majanga

Penzi wa chakachue

Watakodi madinga ma tai

Ili wakuzuzue

Wajitie waganga

Penzi waligangue

Ujasiri sina wa kuvumilie

Unapo amizwaa

Huo moyo sina

Nikizama kina mpaka

Kama samaki sangara

Hiyo miyo mikogo (wacha bwana)

Manyaku kama nawaona

Nimacho kodo mieee

Akini touch touch

Moyo una dundaga

Una dundaga

Akisema sitaki

Akinuna moyo una dundaga

Una dundaga

Manyaku nyaku

Manyaku nyaku