Mmh kapipo

Mmmh yeeeeh

Mi mwenzako sina tena

Mahali ambako ata nitajipoza machungu yangu

Aah mi mwenzako sina tena

Mahali ambako ata nitajipoza machungu yangu mmh

Let me know baby let me know

Wapi nakosea labda mbona imekua ghafla plz baby no

Let me know baby let me know

Wapi nakosea aah kipi sijakufanyia eeh

Ahadi ni deni mi nakudai husisahau

Umenizamishaa no baby no

Hapana hapana hapana

Hapana hapana hapana

Hapana hapana hapana

Hapana

Hapana hapana hapana

Hapana hapana hapana

Hapana hapana hapana

Hapana

Na ntaambia nini watu

Wakiniona nalia wakiniona chozi lanitoka

Wajua maneno ya watu hayanaga pazia

Kama najiona roho nitavyonitoka aaah

Shida ni kwamba utaondosha amani yangu

Yote thamani yangu inazama yooh

Shida ni kwamba utaondosha radha yangu

Na Yote thamani yangu ndogoo

Ahadi ni deni mi nakudai

Usisahau umenizamisha no baby no

Aah no no no no

Aaaah eeeeeh

Aaah hapana