Asante

By Marioo

On Yale

Thumbnail

Kimambo on the beat

Mmmhh

Ivi mapenzi ni kitu gani?

Mbona sa hayana huruma mmh

Haya mapenzi yana nini ii?

Huku mbele ah

Yamekuja kuwaje aah

Gafla kila ninacho fanya

Hakimpendezi eti namkera

Na kasema akinifumania

Wala haimchomi

Nafwata kila anachosema

Sijiwezi naunga tera

Ila sababu ananinunia wala simkumbi

Ubaya nilimpenda sana

Ukweli nampenda sana

Na kama mapenzi nilimpaga yote

Naumia sana

Ubaya nilimpenda sana

Ukweli nampenda sana

Na kama hizi hapa ndo fadhila

Oyaa asante

Asante

Asante

Asante

Mi nawawaza majirani

Wanaojua nakupenda

Ina maana wakiniona

Watajua sipo sawa

Nitawakwaza kisirani

Popote nitapo kwenda

Haya maumivu nani aje kuntua

Mwenzenu napagawa

Mmh si sio mbaya

Kujisevia unachojisikia

Hiki kipindi mi nalia

Hukosi wenzangu wanafurahi

Si sio mbaya kujichimbia

Ulipopenda dear

Hata kama nikilia

Sawa wenzangu kufurahi

Ubaya nilimpenda sana

Ukweli nampenda sana

Na kama mapеnzi nilimpaga yote

Naumia sana

Ubaya nilimpenda sana

Ukweli nampеnda sana

Na kama hizi hapa ndo fadhila

Oyaa asante

Aah mh mh eehh (asante)

Eehh mh hm aaah (asante)

Mmmh ehh eh mmhm (asante)

Oyaaaa naumia aaahh

Aaaaah asante