Anyinya

By Marioo

On Yale

Thumbnail

Ah inama nione yote yote

Changama nilaani kama lote

Changa nipe maji kakoba koba kawalalae

Kaanga maviazi kwa kutokota kepeyai

Ikatie karoti, uisage iwe rojorojo

Nishamwaga noti, nikirudi nikute sotojo

Unyunyuzie na sosi, unavyotenga ongeza mikogo kogokogo

Ah itumie uwezavyo hii

Ya matumizi ananitua

Chukua, yote yako

Nakupa chukua, yote yako

Eeh nakupa chukua, yote yako

Eeh pesa chukua, yote yako

Ya matumizi ananitua

Anyanyinya

Anyanyanya

Anyanyi nyanya nyanya

Ah nyanyanya

Nataka nyama kipapatiro

Eeeh kipapatiro

Ya kuku wa kienyeji eeh

Na sembe kilo

Nimemiss nyama kipapatiro

Eeeh kipapatiro

Na kakuku wa kienyeji eeh

Kwenye mboga chumvi iwe kido kido

Naogopa za fura eeh

We aisee imwage kilo kilo

Mapresha eeh

Ikatie karoti, uisage iwe rojorojo

Nishamwaga noti, nikirudi nikute sotojo

Unyunyuzie na sosi, unavyotеnga ongeza mikogo kogokogo

Ah itumie uwezavyo hii

Ya matumizi ananitua

Chukua, yotе yako

Nakupa chukua, yote yako

Eeh nakupa chukua, yote yako

Eeh pesa chukua, yote yako

Ya matumizi ananitua

Anyanyinya

Anyanyanya

Anyanyi nyanya nyanya

Ah nyanyanya