Released on August 30, 2024

Thumbnail

[Intro: Stans & Marioo]

Stans, oh

Click Master

Ai, wewe

Ooh, yeah

Weh, ah


[Verse 1: Marioo]

Baby niposti

Kwani mi si mali yako?

Unamuogopa nani?

Ai wewe, eh

Baby nichum

Kwani mi si mali yako?

Unamuhofia nani?

Ai, wewe

Mi naona raha

Kama tunawakera, ah

Na bila hata kuwagusa

Bila hata kuwasema

Mi naona raha

Kama tunawaboa, ah

Bila hata kuwaomba

Bila hata kuwaghasi, ah


[Pre-Chorus: Marioo]

Mungu kaumba dunia

Ina watu na viatu

Kaumba dunia

Ina vitu na vituko, oh

Mungu kaumba dunia

Ina watu na viatu, ooh

Ila si tunavyo pendana

Wataachana wao


[Chorus: Marioo]

Tunadunda mpaka 2'25, 2'26, 2'27, 'oh 2'28

Tunadunda mpaka 2'29, oh

2'30 oh

Ila si tunavyo pendana

Wataachana wao, oh


[Bridge: Stans]

Yeah

Stans, oh


[Verse 2: Stans]

Yeah

Baby naomba nifanye

Baby naomba nifanye

Nifanye niwe wako daima mpaka mwisho

Oh, baby naomba niweke

Baby, naomba niweke

Ndani ya moyo wako daima, hey

Wale wote wanaojifanya Pweza, wakutabiri penzi

Mwaka huu tuwachinje, tunywe chuzi la kuongeza nguvu, ha

Wale wote wambea, wambea

Watia chumvi penzi, midomo tuwafumbe

Tupendane, waishiwe nguvu (Ha)

Hey


[Hook: Stans]

Mungu kaumba dunia

Ina watu na viatu

Ila si tunavyo pendana

Wataachana wao


[Post-Chorus: Marioo & Stans]

Tunadunda mpaka 2'25, 2'26, (Oh)

2'27, 'oh 2'28

Tunadunda mpaka 2'29, oh

2'30 oh

Ila si tunavyo pendana

Wataachana wao, oh

Hey, Stans oh

Aah, aah, hey