Released on June 12, 2022

Thumbnail

INTRO

Eyoooo de kankara

(auu auuuu auuu auuuu auuuuu)

Eyoo Mabudah pon de area

(Uuuuuuh)

VERSE 1

The way you touch ma body you take me high

When i see your smile you burn me fire

Your beutful and I'm proud to be your lover

Nipendane nawe twende sawa

Yee ilikuwa utani,,,,aah Ikawa story

Nikakuweka moyoni weeee

Ukanikaa kichwani nikakuota ndotoni wewe

Wewe aaaaaaaaaah

I don't want to make you sad

I don't want to make you cry

I just want to make you feel owrite

With your love am getting high

Baby, you know my vibe

You understand my timing

You control my body

Don't log me out I Am falling in love and am sign in

(siyo siri yayaaaa)

CHORUS

Kwenye himaya Hii tawala

Naimani unanipenda nakupenda sanaa

Piga chini yasokuwa yamaana

Tulizana Tulizana Tulizana

Leo zaidi jana kesho tuzidi fanana

Tunaenda sana yaani aaah yaani raha

Wanimaliza mimi mwenzako mi nyang'a nyang'a

Sanaa sanaaa Mi nyang'aa nyang'aa

VERSE 2

Umeniweza umenimaliza

Umeniteka kwako mateka

Kwenye movie like like star

WE unang'aa Unang'aa like star aaah

Hivii enzi unajuwa

Mapenzi matamu wawili wakipendana

Ni zaidi ya siraha kama zaidi ya Furaha kama

Kupendana kwa sanaaa ndo inaleta maana

Eeeh Eeeh Eeh Everywhere I Go Baby your my size

Kwenye matatizo peke yako unae nifariji

Tena bila likizo

Wanipa mimi nifaidi nikufaidi unifaid

Your my Divai,,,,,,

CHORUS

Kwenye himaya Hii tawala

Naimani unanipenda nakupenda sanaa

Piga chini yasokuwa yamaana

Tulizana Tulizana Tulizana

Leo zaidi jana kesho tuzidi fanana

Tunaenda sana yaani aaah yaani raha

Wanimaliza mimi mwenzako mi nyang'a nyang'a

Sanaa sanaaa Mi nyang'aa nyang'aa