LEVEL UP

By LUFFA

Released on October 4, 2020

Thumbnail

Intro ( Super )

Time to Level Up!

Pray! Mungu ana bless up!

Verse 1 ( Conboi )

My tummy tatts got me feel pac my nigga

Na nnachotema ujue ni facts my nigga

I keep hood i dont fuck with alota niggas

Nishapitia so much pain wala sijawahi to complain

Let me explain jinsi ambavyo maisha yanakwenda

Ukiyaanza ka’ sensei no retreat no surrender

Tulipoianza walipenda na walitupa hadi advice

Na mengi about this life ila sio kama walitupenda right

Baada tuu ya mafanikio kidogo

Wanaanza kuwa wabaya wanatupakazia uongo

Wanafanya lolote ukose mchongo

Lakini hakuna kitu inashindikana juu ya udongo

We going harder akili pia iko smatter

Niggas watch how i move i ain't lose kama sean carter

Im doin bigger , i Got seven figure Kwenye plan

So sitaki kelele na hawa mambwiga

Alotta shits left me scars na sio mzaa

Nilikotoka ujue ni mtiti i need to protect my heart

Fuck you niggas tryna hate its not okay

Fuck the facebook i need my space

Chorus ( Super )

Time to level Up...

( Every Day we sin Yeah, Mwisho wa siku we pray)

Mungu Ana-bless Up....

( Pray to god before we sleepin, nifike siku nyingine) #2

Verse 2 ( Super )

Hii ni Mtu Be kama parklane

Huku bino huku big boy and we got bars kama kilo

I swear this shit is gonna sell (yeah!)

Ukileta vindo ni vishindo kuna Vlone kwenye beat bro

I swear this is not fugazy (yeah!)

We tell the truth Ain’t no fairytales

Ka’ nikiwa mtaani vitani its not a place to play

Hakikisha umeaga nyumbani before you come out here

Niko kitaani mwanangu saa mbovu yuko pia

Na pia hatuna fear

Ka unajijua we’ ni hater unakanyagiwa

I keep my circle too small you dont belong here

Na wananiita mdanta because i was born here

And i been swimming with the Sharks

Nikiibuka ni hatari

Usijifanye unanijua kama hunijui kiundani

Nishapitia Maisha

Namjua shetani ni nani na snitch ni nani

Snitch sio Tekashi ni flani, Am rolling exotic

Kama hujanijua kaa mbali

Na usidiss kidigitali my nigga

Tukutane mtaani I swear

Kama Mbwai ni mbwai

Ninaemhofia ni Mungu tu na wala sio kiumbe hai

Tumekutana Skani eti unauliza mkubwa ni nani

Alafu nishafanya vitu vikubwa ata mwenyewe hufanyi

Mwisho wa siku uje kuchapika mjuba

Epusha tu shali

Na hii fani kwetu ni kazi si’ hatutaki utani

Tunachojua ni kukaza hatusubiri zali

U Dig?!

Chorus ( Super )

Time to level Up...

( Every Day we sin Yeah, Mwisho wa siku we pray)

Mungu Ana-bless Up....

( Pray to god before we sleepin, nifike siku nyingine) #2