Utaniona

By Linex

Thumbnail

[Intro]

The V.O.A

The Bad Number


[Verse 1]

Mimi mdhaifu, nina mapungufu

Si mkamilifu, ooh, ooh

Hitaji langu la moyo

Ni msamaha wako

Yesu


[Chorus]

Naweza jivika usafi 'mbele ya uso wa dunia, ah

Nikayaficha maovu yangu Bwana

(Utaniona)

Ila sio kwako, Bwana 'ah

(Utaniona)

Ila sio kwako, Bwana 'ah

(Utaniona)

Ah, ah


[Post-Chorus]

Hata nijinyenyekee kwa viongozi wa makanisa

Kama Yesu hauko ndani yangu

Mimi ni bure kabisa

Oh, Yesu nimekuja kwako

Unipokee, 'eh, eh, eh

Oh, Yesu nimekuja kwako

Unipokee, 'eh, eh, eh


[Verse 2]

Nikufananishe na nini, Bwana

(Haufananishwi)

Nikutolee sadaka gani, Bwana

(Ya kukutosha)

Sina wema wa kutosha

Dhambi zangu kuziosha

Kutomsahau Mungu katika fanaka

(Tusikusahau Bwana)

Tukizingatia

Tutapata kuishi na kuongezeka


[Chorus]

Naweza jivika usafi 'mbele ya uso wa dunia, ah

Nikayaficha maovu yangu Bwana

(Utaniona)

Ila sio kwako, Bwana 'ah

(Utaniona)

Ila sio kwako, Bwana 'ah

(Utaniona)

Ah, ah


[Post-Chorus]

Hata nijinyenyekee kwa viongozi wa makanisa

Kama Yesu hauko ndani yangu

Mimi ni bure kabisa

Oh, Yesu nimekuja kwako

Unipokee, 'eh, eh, eh

Oh, Yesu nimekuja kwako

Unipokee, 'eh, eh, eh

Numbеr