Katika

By Lilmaina

Released on August 12, 2024

Thumbnail

[Intro]

*Kama ule wa metro we boomin*

Huh mmm ah

Xss xss xss xss

Krr krrr krrrr

Mbona uko shy venye wewe ni ka..

Katika..


[Chorus]

Mbona uko shy venye wewe ni karembo

Kwa hivyo baby katika

Na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby katika

Mbona uko shy venye wewe ni karembo

Kwa hivyo baby katika

Na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby katika


[Verse]

Ati S-T-U-NN-A ni stunna jina kubwa better than yesterday

Ni stunna jina kubwa manze what can i say

Cheki vinye wanafyat wakinicheki kwanye stage (huh)

Stunnaman ni m simple yaani

Toast to the air kama unakula genge money

Na toast kama umeembrace ma manzi kwani

Shots ngapi tumerusha kaa rudisha yaani

Skittle nikipata ninarusha kaa quaterback

Na mid sex you know that i hit it from the back

Big chеques nikisign buda nikipewa guap

Funny vile ganji zimеfanya nipatiwe wap

Na si skilibeng dame anadai she has never seen richer men

Na kama jo si mimi itakuwa aje then

Another banger kutoka stunna i got hits jo my men

I got hits jo my men

Krr krr krr

Chorus]

Mbona uko shy venye wewe ni karembo

Kwa hivyo baby katika

Na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby lkatika

Mbona uko shy venye wewe ni karembo

Kwa hivyo baby katika

Na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby lkati