CONVO 1

By Lil dwin

Released on July 12, 2020

Thumbnail

INTRO

DWIN :

Flows illegal ka nasambaza mijani

Fly siwajui hata marubani

Started killin rappers kesi zkafika nyumbani

Ma akasema hili jini akaanza choma maubani

Ngoja

Dwin vip mbona uonekani?

DWIN :

Am like nipo muda mwingi naspend kichwani..

FAN :

Mia niliiskia CAME UP ile ngoma sio utani

Huku mtaani wanasema kubabeki huyu mchizi gani?

Man its funny

Ushaweka mazao vipi fao ?

Vip watoto mastar ushapita nao achana nao

Vip rappers wanaojikuta wanajua vipi hao ?

Minajua utawaua tu ama zetu ama zao

Vipi tena kuhusu game .. game letu vip lao

Tushasumbua tu maskani vipi kusumbua na kwao

Kuna verse siunasema game demu vipi bao

We tired of fukin waitin my nigga wats wrong wit now

Nambie

Achia ngoma mwana promo tuachie

Mi najua tu ukitoboa hutotusahau na sie

Embu fanya rappers walie

Fanya mainstream tuingie

Mwanangu kuna watoto insta mi nataka niwa**

Ah forget about it

Lets be about it

Navo kuamini mwanangu how come they doubting

Vipi media zinabana huko huko tutabanana

Unataka uniambie kuna ambae hivi anaweza fanya

I`ll bet a milli

DWIN :

And am like nah not really

Ngoja nkwambie kitu mwanangu nikupe siri

Bongo hakuna ambulance sa nani atabeba milii

Ndo maana sikuhizi wakikaza wanaogopa the way am killing

...sema fresh man am gonna be the greatest sooner than later

Catch me Rhyming on these papers kichwani nawaza tu paper

Making it its like a bet maskani hakuna mikeka

And i'be wilding with my dawgs ila uwez kuta tunabweka

AHHHA

All of these rappers my sons ahh

Umri mdogo nalea afu nabonge la plan hommie

Nataka kutoka ka sea

Ndo maana siwezi kosea

Afu peleka umbea

Wanaojikuta wajuzi nikizama tu booth sikuhizi siachi wanyea

And they be like "am not fair"

Like i really cud care

Sikuhizi peni inaongea ’x2

Niggaz say prayers