Hujui chochote kuhusu hiphop kuwa ni culture
Huzijui element huyajui hata machata
Hujui kuna deejay pia kuna mcee;
Kuna street KNOWLEDGE pia street fashion;
Huzijui dhima za fasihi;
Hujui kuwa HIP HOP ilianzia kule bronx;
Humjui DJ Kool Herc haujui chochote kuhusu beatbox;
Hujui kwenye hiphop kuna principles peace, love, unity, and having fun;
Humjui Immortal Technique;
Haumjui Biggie humjui Pac;
Hujawahi kumskia sean price; 🅿️❗
Humjui Ice Cube nigga with attitude;
Humjui Hasheem Dogo wa kikosi cha;
Humjui ulamaa mwanazuoni aliekomaa;
Bado upo vile vile haumjui mchizi mox;
Mwingi wa habari P Mawenge bom bronx;
Eti huwajui Watengwa hujawahi kufika kijenge juu;
Humjui meja wa wachata crew;
Unazipenda movie huwajui bongohoodz
Rahc b+ na scooby do/
Word is bond
Ksonrap
New Generation