Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na nani akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na Nana akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)

Nitoleee....

Jicho nyanya kama papa

Mimi nawasha shada

Kina Liza ni ma kwela waatingiza

Cheki vile huko nyuma kunabingirika

Zimeshika zimerunda cheki kina Linda

Ni mashasha kata waba, tingiza madiaba

Juu chini mi napenda tu wabawaba

Kuanzia usiku mpaka mchana(nitolee)

Kuna njeve nje bana(nitolee)

Shapu ni ya Vera, sura Akothee

Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na nani akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na Nana akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)

Cheki dada kujibamba kwanza

Na madem ni madiva shake hiyo haga kwanza

Cheki space ni biggy shake hiyo haga love

Sinyorita kata kiuno kuwamaliza

Aah mdunge liquor

Hakuna mchezo wa kuwakilisha dem

Mpige lugha

Akikubali ni kum-maliza ma(nitolee)

Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na nani akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na Nana akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)

We mshy vako za mavajo ka Maria

Iza basi understand mi nina tabia

Mbaya sana sana sana kama unafagia

Rada ni kula na macho tu ukinikazia

Kwanza teremsha zote zenye umevalia

Tukichafua Wasafi pale Tanzania

Nikirarua asali tu lazima utalia

Venye naiona iko wazi lazima tu nitaingia

Ka ni Vera, Huddah mboka(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na nani akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)

Hadi Brenda na ka Wambo(nitolee)

Na Nana akidai banana(nitolee)

Akitaka hata hadharani(nitolee)