Lawama

By Kash pleen

Thumbnail

Verse 1:

Jua ni kubaya hii mpaka ulaya

Kwa hii rap game mtaniita Messiah

One day one time nitacollab Breeder

Alafu Papa Jones then picha na Lupita

Hawa mahater tawakanyanga na Tractor

Kash Pleen ndo jina yes mi ni rapper

Mi hugonga shawty hadi anasema yes bana

Mi najua we ni mslow huwezi rada

Kazi ni kukata mizinga na Jaba

Mimi kama Brian yea mi sipendangi Drama

Ka una shida na mi enda nyonga Kalale

Shout out to Willis Raburu pale

Mi ni hardworking mi huamka mangware

Mimi na Ssaru tunapunguza ukware

Beef yangu na wewe ilianza lini

Ka ni clout basi si ujerk off pale CBD

Mimi na ujinga my friend zii

Kibare kwa face my nigga utachizi

Aty men are trash

Bitch huna akili

Shoe game ni kali

Shawty ana drip

Lakini kisura ni kama imelimwa

Akianani my friend nakuambia ni kubaya

Dem venye anomoan utadhani ni choir

Shawty ni player, lakini mimi ni coach

Uko chini ka economy ya Kеnya

OG ndio master hakuna kubishana

Mistari zangu fresh akili imetoka kambi

Awa mabarbiе wajinga hawaradi

Itabidi nimepost izi lyrics ndio warade

Lazima ii ngoma iwashike na iwabambe, {eeh}

Mi huroll na ladies

We huroll na ukedi

We ukipull up na Crew

Mi na pull up na Doberman

Mimi na wewe hatuko the same

Mi ni batman na wewe ni Bane

Utanipata tu kwa highway

Nikiswitch lanes

(Eeh)

Jua ni kubaya

Ukiachwa achika

Tafuta rebound wacha kulia

Uwache usoro mafaka unakatsia

Sipendi madem sukari unaskia

Shout out watu eastlando

Maninja kweli kweli

Sina ubaya usichukulie vibaya

Aty best friend yako ni arimis

Ogopa huyo dem na boy anaita bestie

Ye akiomba ana angushiwa tu one drop

Anaridiwa tu ka machine za treadmill

Wewe uko apa unamtext tu Baby

Unapigwa mabluetick na bado unamuita baby

Wewe ni chali yake wa kutembea hadharani

Lakini hutawai hit

Irriz Wharririz

My nigga uku nje si ni kubaya

Na ka we ni hater motherfucker nakuachia lawama

(Eeh)