KIBIRITI

By KABOY

Released on September 1, 2018

Thumbnail

Intro

Oh na na na na na eee (this is six record)

Sajoooooo

Verse 1

Tikisa kibiriti ka kina njiti

Sikuizi bila kiki kitaani husiki-ki

Usihoji ni vipi kwa beat na fiti

Kaboy bad boy sitishwi na snitch

Juu kwa juu naelea (ahhh)

Ka mshamba huwezi kuelewa

Twende sawa kama pair

Ka nawe wataka kuelewa

Mikono juu am like (yeah!!)

Yap ujakosea am the one man army

Bila tag nasogea ( holaaaa!)

Hook

Kitaani nadunda na nesa

Namsaka yuda na mkunja na mcheysa

Jali muda ili usije ukachekwa (men!!)

Street best loser anaongoza kwa penta

Chorus

Tikisa kibiriti ti ti (yeah!) Kibiriti

Tikisa kibiriti (ah!) Kibiriti ka kina njiti

We tikisa kibiriti ti ti (yeah!) Kibiriti

Tikisa kibiriti (ah!) Kibiriti ka kina njiti

Verse

Japo mi ni taleban kid ila street ndo cool kid (ya!)

Taleban kid sina skendo ya kuvuta weed (tena)

Taleban kid nipo fiti kila angle

Na na tema flow kali heavy weight kama tembo (haaa!)

Mi sina hofu wala wasi

Kwa kila beat mi nafanya ma-asi

Tikisa kibiriti ka umepata nafasi

Ila tikisa fiti usitikise kwa kasi (aa yeah!)

Kaboy ndo bad boy

Ninja toka kinda so boy you should know

Usiponde naringa wakati you don't know

Who am I kwa kila beat mi ni so

Mi ni so so am so fresh so cash

Ndo itakufanya uwe the best (oh oh)

Hata uwe na six pack's pia

Bila pesa kwa kitaa mademu watakukimbia

Chorus

Tikisa kibiriti ti ti (yeah!) Kibiriti

Tikisa kibiriti (ah!) Kibiriti ka kina njiti

We tikisa kibiriti ti ti (yeah!) Kibiriti

Tikisa kibiriti (ah!) Kibiriti ka kina njiti

Verse 3

Na wana wamezidi pozi tena wamezidi pozi

Kitaani naitwa tozi na bado nagawa dozi

Mkweli Fundi kinyozi natoka chafu pozi

Ni-follow IG FB utanikuta nipo OG

K-A-B-O-Y the bad boy himself hustle till I die

Iseee na fly bila mbawa kama twende sawa

Nikupe tungo zenye dawa upate power (aaaghhh!)

Hook

Kitaani nadunda na nesa (nesaaaa)

Namsaka yuda na mkunja na mcheysa (wasiiii)

Jali muda ili usije ukachekwa (men!!)

Street best loser anaongoza kwa penta

Chorus

Tikisa kibiriti ti ti (yeah!) Kibiriti

Tikisa kibiriti (ah!) Kibiriti ka kina njiti

We tikisa kibiriti ti ti (yeah!) Kibiriti

Tikisa kibiriti (ah!) Kibiriti ka kina njiti

Outdo

Ti ti ti

Oh oh

ZUZUMOYA