Released on September 3, 2018

Thumbnail

《It's Bob Manecky》

Na-na-na-na

Na-na-na-na

Na-na-na-na

Na-nah


[Verse 1: Jux]

Zinanitoka goosebumps, nikisikia jina lako

Mi nina weuka, kabisa mi ni chizi wako

Na kama ni mganga eeeh, Mzuri huyo mganga wako

Sio kwa kunipumbaza huku (Baby mmhh)


[Bridge: Jux]

Mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh

Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh

Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh

Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh

Kama ni pilipili Ma, acha ukali niusikie

Kama ni vita mama, acha adui wanivamie

Kama we ni asali Ma, acha na nyuki wanivamie

Lakini penzi lako baby, hata kidogo lisipungue

No no nooooo


[Chorus: Jux]

Zaidi

Zaidi

Zaidi

Zaidi, (Mmh)

Nipe, nipe

Zaidi

Zaidi, (Zaidi)

Mmm

Wewe, zaidi

Zaidi, (Zaidi)

Wewe, nipe

Zaidi

Zaidi, (Zaidi)


[Verse 2: Jux]

Nanyoosha mikono juu, kwako me nime-surrender

Naona maajabu, Sungura kazidiwa ujanja

Nimekuwa zuzuzuzuzu

Nimekuwa bububububu

Nimekuwa mbumbumbu, baby eh

Nimekuwa zaidi ya nyumbu' Sioni, sisikii

Ah' Sioni, sisikii, baby


[Bridge: Jux]

Kama ni pilipili, Ma

Acha ukali niusikie

Kama ni vita, Mama

Acha adui wanivamie

Kama we ni asali, Ma

Acha na nyuki wanivamie

Lakini penzi lako, baby' hata kidogo lisipungue

No, no-no

Oh


[Chorus: Jux]

Zaidi

Zaidi

Zaidi

Zaidi, (Mmh)

>> yeah, yeah, yeah

Nipe, nipe

Zaidi

Zaidi, (Zaidi)

Mmm

Wewe, zaidi

Zaidi, (Zaidi)

Wewe, nipe

Zaidi

Zaidi, (Zaidi)

Zaidi-iih


[Outro]

Mami ongeza ubuyu' nizidi kuumumunya eh

Tena na sukari guru' utamu nikitafuna eh

Baby, ongeza ubuyu nizidi kuumumunya eh

Tena na sukari guru' utamu nikitafuna eh

Mmm