Released on May 10, 2013

10K Views

Thumbnail

[Hook]

Niko njaa hata siezi karanga

Hoehae shaghala bhaghala

Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama

Sitasimama maovu yakitawala

Sitasimama maovu yakitawala

Ufisadi, ubinafsi ukabila

Kuuza sura hawataki kuuza sera

Undugu, ni kufaana

Sitasimama maovu yakitawala

Siatasimama maovu yakitawala


[Verse 1]

Hard kuget wadhifa una-deserve

Bila cash ama kashfa

Hii society kenye wanaweza-

-Share ni nyungu ya busaa

Ama kettle ya shisha

Mfuko zinasikia echo

Utajua thamani ya mali na size ya kufuli, ay-yo

Hujaibiwa juu hauna kakitu worth

Risking jail time, police bullets for

Unaeza argue: Crime doesn't pay

Lakini huezi dismiss justice ina bei

Mwizi ana forty days

3-6-5 days later

Anaendelea ku-grow fatter

Do anything for power

Ready to lose their heads for presidency

Bora waione kwa currency

Sababu gani siko affected na turbulance niki-fly angani

Nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaaani?!

Juliaani! Yeah Yeaaah!


[Hook]

Niko njaa hata siezi karanga

Hoehae shaghala bhaghala

Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama

Sitasimama maovu yakitawala

Sitasimama maovu yakitawala

Ufisadi, ubinafsi ukabila

Kuuza sura hawataki kuuza sera

Undugu, ni kufaana

Sitasimama maovu yakitawala

Siatasimama maovu yakitawala


[Verse 2]

Ndio wa raise funds

Itabidi u-raise hands

Growing concern

Breakfast za croissant

Hatutaki upunguze bei ya bidhaa

Tunataka opportunities ndio tu-afford hizo bidhaa

Walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi

Nimeshinda nikitembea maofisi na sijawahi ona kazi

Siezi cheza golf venye Tiger would

Mambo si bara bara Ching Wu

Naomba journey mercies

Chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani

Policeman anapiga rungu mwalimu

Daktari anamrushia teargas

Na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees analipwa peanuts


[Hook]

Niko njaa hata siezi karanga

Hoehae shaghala bhaghala

Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama

Sitasimama maovu yakitawala

Sitasimama maovu yakitawala

Ufisadi, ubinafsi ukabila

Kuuza sura hawataki kuuza sera

Undugu, ni kufaana

Sitasimama maovu yakitawala

Siatasimama maovu yakitawala


[Verse 3]

Sewer za State House na latrine za ghetto

Ziupatana Nairobi river

No more nita live by

Hand-to-mouth

Ushai sikia maskini anaugua gout?

Nikiwa na nguvu ya kung'oa reli definitely

Kuinua kura si nzito

Ukiingiza kwa ballot box chagua kiongozi wa kweli

Moha, John Allan Namu, Jicho Pevu

Wakianika mkono refu ina pick-pocket wanyonge

Navaa mask ka za goal keeper wa hockey

Hawaezi ni-Kerubo

Kenya ni kama boxing, hakuna sub

Work with what we have


[Hook]

Niko njaa hata siezi karanga

Hoehae shaghala bhaghala

Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama

Sitasimama maovu yakitawala

Sitasimama maovu yakitawala

Ufisadi, ubinafsi ukabila

Kuuza sura hawataki kuuza sera

Undugu, ni kufaana

Sitasimama maovu yakitawala

Siatasimama maovu yakitawala