Released on December 18, 2008

Thumbnail

Song: Biceps

Chorus

Pia mi hu-cry kwa crisis

Pia mi najua mwanaume sio biceps

Pia mi hu-cry kwa crisis

Pia mi najua mwanaume sio biceps

Pia mi hu-cry kwa crisis

Pia mi najua urembo sio cutex

Pia mi hu-cry kwa crisis

Pia mi najua urembo sio cutex

Verse 1

Ma-thug wanateremka ka longi yangu niki-sag

Futi sita chini shags

Jail ime-fail jaribu hugs

Waonekani mtaani ka santa claus kinyozi

Machozi ya kitungu

Roho ya robocop

Sarah alikuwa anataka mtoto naako menopause

Ma-boy wanatafuta love kwa soap

Washewana-define love na soap... opera

Haisaidiika Micheal Jordan kununuakichana

Eeh bana enda Koinange Street

Cheki length ya skirt ya wa-she

Hio ndio inaitwa mini-stry

Mimi G

Na-reason hivi

(Chorus)

Verse 2

Ma-zero zikiwakwa paper ya exam

Una-jam

Lakini the more zikiwa kwa cheque book

Unajisifu

Venye unajua si hivyo huwa

Kuvaa white haimaanishi angel

Pengine ni Ku Klux Klan

Ku clash clad

Nika Mkristo anaenda club anaenda pub

Si nywele yao ni wig

Si shida ya macho ni weed

Wana njaa usidanganywe na toothpick

Ndio una twenty six inch rims

Lakini ka wengine utaingia six feet deep

Wana beba mandovu kwa wallet

Lakini hawana nguvu ya kutoa msumari imewafunikia kwa casket

Wana beba mandovu kwa wallet

(Chorus)

Verse 3

Wazembe waezi chana nywele wakaita dredi

Waliishiwa na unga wakaita uji

Kukua busy sibidii

Sote wezi ni venye tujapatikana P3

I wonder tulikopesha ni grim reaper?

Inatu-cost life yetu

Dough haiezilipa

Siku-choose kuingia hii dunia

Pia sijui lini nita toka hii dunia

Basi mimi nitajivunia

Mbona mapenzi kabla pete inapuliza tumbo

Kama ni hatia tunge fura mgongo

Simbaya msichana na kijana ku-keep in touch

(Chorus)