Released on May 29, 2026

Thumbnail

Nimechill ndani ya cafe nikisip my coffee

Life life life life

Nimevaa my kofia I swear I no fear

No man man man man

Nimechill ndani ya cafe nikisip my coffee

Life life life life

Nimevaa my kofia I swear I no fear

No man man man man

Life inakufuck Ka Yule msee hukudinya

Unanipress ni Ka mi ndo hukufinya

Impress empress at the end atafinywa

Ikidoz kiamshwa Ka kinywa

Ulimturn on akakupea ukazima

Hii si mtama unamwaga Haungam

Ni Ka gum unadhani haikuharm

Unachew alafu later unaburn

We si Simba so you better be done (Dan)

Wewaschana bibi za watu wachan

You do it in the dark unapatwa mchan

Unadhani ni utani until iturn

On you uko solo na hakuna u turn

Life inakupika inakupita na pan

Unashikwa na bwana anakushanda na gun

Si alishandwa

Nimechill ndani ya cafe nikisip my coffee

Life life life lifе

Nimevaa my kofia I swear I no fear

No man man man man

Nimеchill ndani ya cafe nikisip my coffee

Life life life life

Nimevaa my kofia I swear I no fear

No man man man man

Light at the end of tunnel kuna giza

Hakuna njeve juu ya joto unaingiza

Unachana veve unamwacha ndethe

Uko na jibu mbona swali unauliza

Masaa unashindwa ako ameshinda masaku

Keti kitako tatua shida zako

Masaa unashindwa ako ameshinda masaku

Keti kitako tatua shida zako