Digi Digi

By Jambo Squad

Thumbnail

[Intro]

Digidigi

(Yo)

Digidigi (Uh)

Digi

Digi

Digi

Digi

Digi

Digi

(Uh)


[Chorus]

Nimeenda Ngorongoro

(Hakuna digidigi)

Mpaka Serengeti

(Hakuna digidigi)

Nimeenda Mikumi

(Hakuna digidigi)

Nasema, no

(Digidigi)

No

(Digidigi)

Nimeenda Ngorongoro

(Hakuna digidigi)

Mpaka Serengeti

(Hakuna digidigi), Heh

Nimeenda Mikumi

(Hakuna digidigi), He-he-he

No

(Digidigi), uh

No

(Digidigi)

Uh, uh


[Verse 1: Ordinary]

Mi napenda sana digidigi (Eh)

Mi napenda sana kuwaona digidigi (Yes)

Kama vipi nazama kijiji

Vichakani, maporini, 'hakuna digidigi

Watu walaku, yaani magwiji

Wameshiba, wametafuna wote 'digidigi (Eh, eh)

Manyara hakuna digidigi

Kule Serengeti yako tu ma pig (Aah...)

We jangili acha kuondoka, 'rudi

Hicho kitambi ulicho fuga, si cha digidigi? (Eh)

Vaa bangili, ukatoe ushahidi (Eh-enhe)

Na hizo meno mbili za Tembo zirudi

Nasikia mnadaka Nyati, 'mnawachuna ngozi

Mpaka Twiga ana stress, hatembei tena kwa pozi (Ha-ha)

Tumbili mnawaekea ugoro kwenye ndizi, kikojozi

Wakilewa, wakianguka, mnachinja, mnakunywa mchuzi

Ndio maana hakuna digidigi

Halafu mnachinja na spana, 'eti digidigi

Eti digidigi


[Chorus]

Nimeenda Ngorongoro

(Hakuna digidigi)

Mpaka Serengeti

(Hakuna digidigi)

Nimeenda Mikumi

(Hakuna digidigi)

Nasema, no

(Digidigi)

No

(Digidigi)

Nimeenda Ngorongoro

(Hakuna digidigi)

Mpaka Serengeti

(Hakuna digidigi)

Nimeenda Mikumi

(Hakuna digidigi)

Kote, no

(Digidigi), Uh

No

(Digidigi)


[Verse 2: Nigga C]

Acha digidigi (Eh)

Mixer Pundamilia (Oh)

Hao Faru ndio usipime

Daily wanalia (Wee!)

Mpaka Kobe kaongeza mwendo, nae anakimbia

Yaani hadi Fisi, man (Eh)

Wanawanyemelea (Ah)

Sio siri, joh (Uh)

Hakuna Kangaroo, laivu wana "make dough" (Ha)

Hawaoni soo (Ha-ha)

Wamechoka kula ng'ombe, mbuzi na kondoo

Sasa wanang'oa Tembo pembe, 'hawachoki ng'o

Ni tatizo bwana (Uh-huh)

Ngiri hawacheki tena

Kila saa ni noma 'kikinuka, wanatafutana

Sokwe wana homa, wanatoka jasho, wanaloana (Dah)

Kweli Chimpazee mkubwa wamemdaka jana (Wah)

Washtue Swala (Meh)

Waambie wasije wakalala

Kwani kuna Mazimba ambao watakuja wala, ah

Mpaka Simba wenyewe wanakacha msala

'Cause Makiritimba wanacho saka ni dola


[Chorus]

Nimeenda Ngorongoro

(Hakuna digidigi)

Mpaka Serengeti

(Hakuna digidigi)

Nimeenda Mikumi

(Hakuna digidigi)

Nasema, no

(Digidigi)

No

(Digidigi)

Nimeenda Ngorongoro

(Hakuna digidigi)

Mpaka Serengeti

(Hakuna digidigi)

Nimeenda Mikumi

(Hakuna digidigi)

Kote, no

(Digidigi)

No

(Digidigi)

(Instrumentals)