Wewe

By J93

Released on August 10, 2024

Thumbnail

East African on the beat

Chorus (J93)

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Verse 1 (J93)

Umenibadilisha tangu nimekupata we (aaah)

Sihitaji tena mpenzi zaidi yako baby we (aaah)

Karata ya mapenzi nimelamba kwako wee (aah)

Mkeka wangu unasoma jina lako wee

Vile unavyonipa nipa mchizi me nadata data

Kwako Siwezi Toka Toka gundi nimenata nata

Popote utapokwenda kwenda nyuma nitakufata fata

Maneno wanaongea ongеa me sijali hata hata

Yeah

Ikifika jioni mpenzi wangu nipigiе (aaah)

Kama kuna ubuyu kidogo nigawie (aaah)

Kama nimekuuzi baby wangu niambie (aaah)

Hakuna zaidi yako wewe ndio wangu bibie

Chorus (J93)

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Verse 2 (Orbit Makaveli)

Yeah

Nakupenda wewe, wewe wewe

Nakuwaza wewe, wewe wewe

Naomba uelewe lewe hakuna mwenginewe newe yeah yeah

Ah

Daily nawaza kwanini unakaza unazila you never the same

Ever since Nimeanza kufanya harakati kwa hasira kwenye Hii game ya music

Baby i don't wanna loose you

Na kama ukitaka Niache kufanya it's fine coz i wanna please you

But is you, really in love with me or just a player?

Naulizia kwa maana nisije nikazama deep kumbe napotea

Yeah

Chorus (J93 and orbit Makaveli)

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe

Nakuwaza wewe

Nakupenda wewe(wewe wee)

Nakuwaza wewe(wewe weee)

Nakupenda wewe (wewe weee)

Nakuwaza wewe (wewe wee)

Nakupenda wewe (wewe wee)

Gano on the mix....