HELLO

By J93

Released on March 13, 2020

Thumbnail

VERSE 1

Natamani urudi tena kwangu

Kama zamani uwe mpenzi wangu

Na majirani wakuite mpenzi wangu

Kwenye vitabu utumie jina langu

Najuta kwanini nilikutesa

Nilikupigapiga bila kosa

Mbele ya mshosti zako nilikutosa

Ulikuwa wangu sikukupa pesa

Nakuacha ndani naenda bang na mademu no

Ukinifumania ninazuga ni shetani no

Unanisamehe kesho narudia tena no

Ndugu zako wakasema nitakuua usepe no

Aaah,tangu uondoke sina tena kazi

Sina mchongo wanichora tu mapaparazi

Rafiki zako wanasema umenipa radhi

Muziki nao unayumba napoteza hadhi

Nakuomba urudi mama watoto wee

Nakuomba urudi siwezi mwenyewe

Nakuomba urudi unipoze wee

Nakuomba urudi nakupenda wee

CHORUS

Me napiga simu haupokei

Hata ukipokea hauongei

Me nanyanyasika everyday

Hello hello

Me napiga simu haupokei

Hata ukipokea hauongei

Me nanyanyasika everyday

Hello hello

VERSE 2

Nakumbuka ya zamani baby girl

Me na wewe tu chumbani hell no

Umeondoka kama utani umeniacha me gizani

Upo wapi nakuita baby njoo

Na mawazo me kichwani mwenzio

Kila nikikumbuka yani kilio

Na machozi yanamwagika

Leo najuta yamenikuta

Upo wapi nakuita baby njoo

Aah

Mapenzi ya chumbani

Nakumbuka yote mpaka msosi wamezani

Kabla sijasepa unanikiss shavuni

Najuta yote niliotenda kutoka moyoni

Aaah

Peke yangu naongea

Nilokula nao raha wote wametembea

Niponipo peke yangu dira imepotea

Rudi nyumbani baby girl siwezi vumilia

Outro

Yeah just come back home baby,you know i mis you right

CHORUS

Me napiga simu haupokei

Hata ukipokea hauongei

Me nanyanyasika everyday

Hello hello

Me napiga simu haupokei

Hata ukipokea hauongei

Me nanyanyasika everyday

Hello hello...