Released on June 3, 2024

Thumbnail

Taifa limeshapata suluhu

Kinachofata ni mipango

Na majaliwa

Ya mwenyezi Mungu

Analolipanga Mungu

Huwezi kulipangua

Alitupa Magufuli

Kisha kamchukua

Ametuachia jahazi

Na sisi ndio abiria

Jukumu letu ni kuchapa kazi

Maana yupo wakusimamia

Tutumbulie majambazi

Wala rushwa maharamia

Wasiotaka kufanyakazi

Wapenda pesa zakuvizia

Mama tuvushe

Taifa zima lina imani nawe

Mama tuvushe

Hayati JPM

Alikutuwa wewe

Samia tuvushe

Taifa zima

Tunakutazama wewe

Tuvushe

Refarii ndio kabadilika

Lakini uwanja ni ule ule

Kazi juu ya kazi

Tena mpenda haki

Mtu wa mungu

Fitina hataki

Wala majungu

Na ndoto za wanawake

Shupavu zimetimia

Na huyu ndio rais

Wakwanza mwanamke

Hapa Tanzania

Mama Samia

Tunakwenda kumalizia

Miradi iliyobakia

Pole yenu mnaohofia

Aah, mama waonyeshe

Unavyotekeleza

Busisi bridge

Na surrender

Madaraja yote

Mama waonyeshe

Ooh, waonyeshe

Unavyotеkeleza

Na flyover zilizobakia

Mama waonyеshe

Ooh, waonyeshe

Unavyotekeleza

Standard gauge

Air Tanzania

Mama waonyeshe

Ooh, waonyeshe

Unavyotekeleza

Barabara, Elimu bure pia

Mama waonyeshe

Oh, waonyeshe

Unavyotekeleza

Mradi wa umeme

Bwawa la nyerere

Mama waonyeshe

Oh, waonyeshe

Unavyotekeleza

Ikulu chamwino dodoma

Izidi songa mbele

Mama waonyeshe

Oh, waonyeshe

Unavyotekeleza