Show Me

By Harmonize

Released on April 16, 2017

18K Views

Thumbnail

[Intro]

Ayooo Lizer

Wasafi Records


[Verse 1: Harmonize]

Aah mwenzako I feel so Good kipindi nikikuona

Au Huo Mwendo Unafanya kusudi na Ulivyoshona

Wakati Unakwenda au unarudi wakata Kona

Nyuma Ka Katuni za Masudi Ulivyonona

Eeeh! Hivi Unapenda wa Vifua ka Roboti ama Sanamu

Au wazee wa Kununua Mwaga Noti akina Sallam


[Pre-Chorus: Rich Mavoko]

Oooh oh Anita macho kama unaniita, (aaahaaaa)

Saa Sita Shepu Vera Sidika (aaahaaaa)

Anita Macho kama Unaiita (aaahaaaa)

Saa Sita Shepu Vera


[Chorus: Harmonize & Rich Mavoko]

Ahh Show Me! Show Me!

Show Me! (Unavyodance)

Show Me! Show Me!

Show Me! (Waonyeshe Unavyodance)

Aah Show Me! (Eeh) Show Me!

Show Me! Unavyodance)

Show Me! (Eeh) Show Me!

Show Me! (Waonyeshe Unavyodance)


[Verse 2: Rich Mavoko]

Umenifinyanga kama Dona Mmakonde na Ndonya

Kama Mpira Maradona Kichuya Kona

Na wakisema Na mawenge Waambie Werrason

Wakiringisha Peremende Nitakugawia koni

Chunga Kipenzi Majaribu Mabaya sana Oooh

Na wewe Ndo Dokta wa Kunitibu Niwe Salama Oooh


[Pre-Chorus: Rich Mavoko]

Oooh baby Anita macho kama Unaniita (aaahaaaa)

Saa Sita Kiuno ka Yondo Sister (aaahaaaa)

Anita macho kama Unaniita (aaahaaaa)

Saa Sita Kiuno ka Yondo Sister


[Chorus: Harmonize & Rich Mavoko]

Ahh Show Me! Show Me!

Show Me! (Unavyodance)

Show Me! Show Me!

Show Me! (Waonyeshe Unavyodance)

Aah Show Me! (Eeh) Show Me!

Show Me! Unavyodance)

Show Me! (Eeh) Show Me!

Show Me! (Waonyeshe Unavyodance)


[Outro: Harmonize & Rich Mavoko]

(Wasaaafi)

Asa Mombasa Nairobi (Sakata Dance)

Kampala Kigali (Sakata Dance)

Zimbambwe Kwatobi (Sakata Dance)

Naija Somali ( Toto Sakata Dance)

Wanangu wa Panya Road (Sakata Dance)

Chaukucha kwa Sadali (Sakata Dance)

Na Unyamani Biomi (Sakata Dance)

Kizonga kwa Natali (Toto Sakata Dance)

Aaahaaaa Aaahaaaa Aaahaaaa

(Unavyodance)

Aaahaaaa Aaahaaaa Aaahaaaa

(Waonyeshe Unavyodance)