Released on June 3, 2024

Thumbnail

This is for you, mama

Wakisema ananidekeza wajibu

Mtoto kwa mama hakui siku zote

Na wakisema najipendekeza wambie karibu

Uzuri hachagui ni mama yetu sote

Umseme kwa mazuri hata machafu

Nenda CHADEMA urudi CUF

Atabaki kuwa mama

Hakuna kama mama

Alopewa na Mungu

Hawezi nyang'anywa kwa rungu

Hata wakija na majungu

Na visenti vyao vya wazungu

Taifa lishasema ni Samia tena

Samia tena

Samia tena

Suluhu Samia

Samia tena

Samia tena

Samia tena

Suluhu Samia

Samia tena

Samia tena

Samia tena

Suluhu Samia

Uraisi hakuomba

Wala hakufikira

Ila tunae muomba

Ndie katutunukia

Konde hata asiponiomba

Kura yangu nitampigia

Amekomesha Kongomba

Mtwara kuchele tunashangilia

Maji kila kona

Buree

Watoto wanasoma

Buree

Natibiwa homa

Buree

Nani kama mama

Hakuna kama mama

Atabaki kuwa mama

Amerudisha ujamaa

Kama unakerekwa hama

Maana

Hakuna kama mama

Atabaki kuwa mama

Amerudisha ujamaa

Kama unakerekwa hama

Alopewa na Mungu

Hawezi nyang'anywa kwa rungu

Hata wakija na majungu

Na visеnti vyao vya wazungu

Taifa lishasema ni Samia tena

Samia tena

Samia tеna

Suluhu Samia

Wote vijana na wazee

Samia tena

Samia tena

Samia tena

Suluhu Samia

Samia tena

Samia tena

Samia tena

Suluhu Samia

Kondeboy

Call me number one

Number one

And I did this for mama

Konde music worldwide

Worldwide

Samia tena