Never Give Up

By Harmonize

On Afro East

11K Views

Thumbnail

[Intro: Harmonize]

Ai

Ooh no

Oh lord have mercy

Iyee iyee eeh eeh

Konde boy


[Verse 1]

Let me tell you my story

Nimezaliwa Mtwara, Tanzania

Huko kijijini Chitoholi

Hapa mjini nimezamia

Ndoto zilikuwa kucheza boli;

Mara ghafla kwa muziki zikahamia

My daddy Iam sorry

Swala tano hukupenda uliposikia

Kama utani si nikaanza kuimba

Mungu si Athumani,nikakutana na Simba; Akanipiga company

Japo kuna walo pinga

Kwamba sina kipaji


['Ninakupenda malaika' 'Malaika' '...umeuharibu sana huo wimbo' 'Ulikuwa unafanya mazoezi nnje hapo eeh' 'Ndio' 'Nilikusikia, nilishakupa NO tangia mwanzoni' 'NO, make me sing']

Fitina za ndani ndani mara 'Harmo' anavimba

Atapendwa na nani? Mmakonde wa Tandahimba

Nikajipa imani ipo siku nitashinda Maana Mola ndo mpaji

Eeeh


[Hook]

Now I make my paper (My paper)

And I bless my family; Pole walonicheka (Nicheka)

Enzi navaanga kanda mbili


[So...]


[Chorus]

Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!

Never, Never, Never

Usikate tamaa maana Mungu anakuona

Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!

Never, Never, Never

Usikate tamaa, hangaika kila kona


[?]


[Verse 2]

I remember mama told me, my boy Binadamu hawana wema

Watakuchekeaga usoni

Ukiwapa kisogo wanakusema

Usihifadhi chuki moyoni

Yalipe mabaya kwa mema

Jifanye hukumbuki huyaoni 'ndo maandiko yanavyosema

Nilimtanguliza Mungu kwa Swala

Mara ghafla kaja mzungu Sarah Ah

Thank you my beiby You love me, you support me I love you too

Shout out to my nigga Jose wa Mipango Jabulanti, Choppa, I got love for you

Mnyama Mkali, Budda na Mcha chambo Waambie tunapita so mikono juu

Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga

Long way to go

Ila naiona afadhali, kulala uhakika

Na kula sio ka before

Debe kwa Azizi Ali, Mbagala, Tandika, Kimara na Kariakoo

Ghetto na kibatari

Kiangazi masika Ikiwa mvua vyote vyako


[Hook]

Now I make my paper (My paper)

And I bless my family

Pole walonicheka (Nicheka)

Enzi navaanga kanda mbili


[So...]


[Chorus]

Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!

Never, Never, Never

Usikate tamaa maana Mungu anakuona

Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!

Never, Never, Never Usikate tamaa, hangaika kila kona

(Cheering)

Oh My God, its [Spencer]

(Cheering)