Released on November 5, 2021

Thumbnail

[Intro]

Hahaha, Jeshi

I really sound crazy [songs by Abbah]

Chinga

I wanna sing for my lady oh

Sexy lady mmmh


[Verse 1: Harmonize]

Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo

Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo

Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo

Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo

Tena unavyojisuuza hujikwezi

Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi

Yani unawaburuza hawakuwezi

Umeniteka mama


[Pre Chorus]

Watoto wa Mombasa huko Kenya,wanaitamani ndizi ya kumenya

Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui

Akina Carry mastory wanakusengenya,na vile huwajibu wanajitekenya

Na ulivyo na sifa unanipa tena,yani mpaka asubuhi


[Hook]

Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo

Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo

[Verse 2: Ibraah}

Mmmmmh Yeah

Oh baby I don't evеn understand

Nahisi kama umenifanyia limbwata

Ila ndo mapenzi sishangai

Yеah

My baby, I don't want a one night stand

Mi kwako chizi nishadata, nitakupenda till I die

Maana unanipa mawenge [ngengenge]

Mara vichwa mara mwenge [ngengenge]

Kaja gym na kite [tengenge]

Ilimradi uchokozi

Aah onananana

Macho yanatazama mbingu, na mikono ushafunga na pingu

Kibaridi huko nje kuna wingu, mi namwa mwagaga machozi


[Pre Chorus: Harmonize]

Watoto wa Mombasa huko Kenya,wanaitamani ndizi ya kumenya

Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui

Akina Carry mastory wanakusengenya,na vile huwajibu wanajitekenya

Na ulivyo na sifa unanipa tena,yani mpaka asubuhi


[Hook]

Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo

Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo


[Outro: Ibraah]

Anataka niteleze kwa ute [Hana ubaya]

Nikitapika nisifute [Hana ubaya]

Ananifanya nisijute [Hana ubaya]

Hana


[Harmonize]

Say

Chumbani nikukute [Hana ubaya]

Na ganja mbili tuvute [Hana ubaya]

Na vumbi la Congo ulifute [Hana ubaya]

Hana


[the mix killer]

Kondeboy call me number one

Chinga yes number one

Number one

Hehe