Released on February 25, 2019

33K Views

Thumbnail

[Intro: Harmonize, Burna Boy, Diamond Platnumz]

Konde Boy

They call me Burna

It's Platnumz

Eh eh, eh eh!


[Verse 1: Burna Boy]

Na you dey make me sit down dey sing this song

Gala gala

You come dey make me feel like I did you wrong

Jaga jaga

If you want am, I go give you more

Jara jara

Today today, you go give me love

Sawa sawa o, eh eh!

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wananiita (Handsome)

Burna Boy twaeka kila sehemu

Wanapagawa mpaka wananiita (Handsome)

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wanaiita (Handsome)

Konde Boy twaeka kila sehem

Wanapagawa mpaka wanaiita


[Pre-Chorus: Harmonize]

Adeka bura kwa mandera

Rudi kwa bibi kinondoni

Amber Lulu kunja dera

Mwanangu Gigi simouni


[Chorus: Harmonize]

Aje, ah inama (Mama)

Ah inuka (Baby show them)

Ah inama (Eh hey hey)

Ah shika ukuta (Waonyeshe ulivyofuzwa)

Ah inama (Go down baby)

Ah inuka (Give it to dem baby)

Ah inama (Eh-hey)

Ah shika ukuta (Ruska kutunza)


[Verse 2: Harmonize]

Sio sura sio shepu, mi nikimuona taabani

Hivi si Nuna, sepetu, amanimuite jina gani?

Baby girl, your body killer (We)

Mwendo kama caterpillar

Miguu ya pombe tequila

She dey burst my mind

Ba mutu ba Congo Kabila

Madongo Lunyamila

And she’s so sweety, vanilla

She dey burst my mind (Oh ho ho)

Nobody sexy like my baby (Hey, hey, hey)

Tena Mwepesi akiwa kwa bedi


[Pre-Chorus: Harmonize]

Adeka bura kwa mandera

Rudi kwa bibi kinondoni

Amber Lulu kunja dera

Mwanangu Gigi simouni

[Chorus: Harmonize, Diamond Platnumz]

Aje, ah inama (Mama)

Ah inuka (Baby show them)

Ah inama (Eh hey hey)

Ah shika ukuta (Waonyeshe ulivyofuzwa)

Ah inama (Go down baby)

Ah inuka (Give it to dem baby)

Ah inama (Eh-hey; Mbroke)

Ah shika ukuta (Ruska kutunza)


[Verse 3: Diamond Platnumz]

Oya goddamn, mtoto nyau poli

Ana vimacholegezo gololi

Katika game, funga tu goli

Hatumalizagi mchezo ukae goli

Kilima kilima (Panda kilima)

Baby kilima, hii!

Kisima kisima (Namba kisima)

Nainga kisima

Nizame mpaka chini (Oh)

Ebu, Yano katoto kachafu kama bata (Eh)

Ah ah, mami nakafanya ndafu nakang'ata

Salamu ziende kwa wanjala

Doni, Maisha, kitasa kwenye bunyeru

Wambie Simba kacharara

Anataka msambwanda kwa buku jeru


[Chorus: Harmonize]

Aje, ah inama (Mama)

Ah inuka (Baby show them)

Ah inama (Eh hey hey)

Ah shika ukuta (Waonyeshe ulivyofuzwa)

Ah inama (Go down baby)

Ah inuka (Give it to dem baby)

Ah inama (Eh-hey)

Ah shika ukuta (Ruska kutunza)

[Outro: Burna Boy, Diamond Platnumz & Harmonize]

Eh eh!

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wananiita (Handsome)

Burna Boy twaeka kila sehemu

Wanapagawa mpaka wananiita (Handsome; Mbroke)

Nasifiwa kwa mapenzi na madem

Wanapagawa mpaka wananiita (Handsome)

Simba ma vision nitashame

Vite madem nao nawapita (Handsome)

Konde Boy